Mashujaa wangu ni hawa ...

20 Oct 2015

KWANGU:

Huyo wochi ulinda mamillion faithfully yet hulipwa thao tano, huyo ndio SHUJAA.

Huyo dame alipata ball accidentally na akaamua kukip uyo mtoi, huyo ndio SHUJAA.

Huyo boy hubeba mawe siku nzima ndio mtoi ako home apate waru kwa meza jioni, huyo ndio SHUJAA.

Huyo matha alitokea mbele ya mshale ilikuwa directed to her sons chest, huyo ndio SHUJAA.

Huyo matha hufeed watoi wake wachanga na mmoja mkubwa mlevi yule hujiiita bwana yake, huyo ndio SHUJAA.

Huyo dame ameshikila ubikra,amesema no so many times to mutiple men, huyo ndio SHUJAA.

Huyo boy amemaintain soberness ata kaa getting high kwa hio mtaa is the only way to remain sober, huyo ndio SHUJAA.

Na wewe hapo ushawai fanya nikacheka ka mtoi jipigie makofi coz kwangu wewe ni SHUJAA.

 — with Eddie Lee Bert.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS