Thinking Economics

26 Oct 2013

Think thrice kabla ununue kitu..
1. ati kuku 1000 kwani ime soma?
2. ati braa 5000 kwani ni longsleeve.?
3. ati calculator 1700 kwani iko na  bluetooth?
4. ati padlock 1500 kwani inakuja na  watchman.?
5. ati vest 500 kwani ni bulletproof..
6. ati miwa ni 700 kwani maji yake ni whisky..
7. ati ngotha 500 kwani ni ya letha?
8. ati sabuni 800 kwani ina osha  dhambi
9. ati kioo 5000 kwani ni touch screen
10. ati ovacado 50 kwani mbegu ni lolipop
11. ati fare ya gari ku anzia home ady tao ni 200 kwani nashuka na kiti.
12. ati .........................??(ongezea  yako kwa comments)....

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS