What our fellows at the coast write on mats

3 Mar 2014

Vichapio au vibandiki au vijistika kwenye matatu za kule pwani...

1.Fare hazijaongezwa wewe ndiye umesota.

2.Umekataa kona unakubali penati.

3.Shimo la panya halizibwi kwa mkate.

4.Supermarket hakuuzwi makaa.

5.Kama mapenzi ni pesa kafunge ndoa na benki.

6.Umeshindwa na penati utaeza kona.

7.We nisubiri mi nakungoja.

8. Nyuki hakumbatiwi.

9.Chupi ya wrestler haivaliwi na model kwa stage.

10.Kama Raha Yauwa mbona Unywe Sumu.

11.Kama wewe si mvuvi ngoja samaki sokoni.

12.Kwetu ni majuu Kenya ni raundi.

13.Jenga nchi,ntaipaka rangi.

14.Kanzu mpya Sheikh Yule Yule.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS