Majibu za makanga wa nai

16 Aug 2014

Crazy responses from Kenyan matatu conductors.

1. An woman complains about the music, 'Wekeni nyimbo za yesu.'
Conda: Mathee, yesu bado hajatoa album

2. Pass: Kuna kiti ama ni zile uongo zenu?
Conda: Hehe kama ulikua unaogopa kukosa kiti si ungebeba yako.

3. Pass: Bwana hii gari ina joto sana!
Conda: Basi shuka upande fridge.

4. Conda: Madam, kuna seats pale nyuma.
Pass: Siwezi kaa seats za nyuma, Nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari? Basi wacha dere ashuke ukae mbele.

5. Pass: Tao ngapi?
Conda: Mbao.
Pass: Nko na ashuu.
Conda: Iyo nunua avocado ujipake uteleze mpaka tao.

Girl: Ongeza volume tuskie Mwalimu King'ang'i!
Konda: Ungeskiza Mwalimu wa shule ungekua na gari yako si kutusumbua hapa na King'ang'i.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS