So unatoka Nai, eeh???

27 Sept 2013

Kila mtu ana haki kuishi nairobi lakini kuna watu huharibia Nairobi sifa.

Watu wa kutoka mitaa ifuatayo,tafadhali kwa heshima na utu wenyu msirudi kufikiria mko Nai.

-ruiru
-juja
-kiambu
-kikuyu
-kinoo
-ruai
-utawala
-ngong
-kitengela
-kahawa west.
-syokimau.
-kamulu
-thome/marurui
-athi river
-kiserian
-matopeni
-matasia
-rongai

Na places zingine zote zenye:
-lazma mlale kwa gari.
-kabla gari iondoke stage kuna hawkers wanauza maji kwa dirisha.
-gari inaenda hadi mnjauana na neiba next seat.
-unaskia dere akisema "kwani ule mama tunachukuanga hapa leo amechelewa" ,"hatuna loose atachukua change kesho!"
-watu wanajuana karibu wote kwa mat "unaona leo ulikua karibu kuachwa,jana ulienda na gani?".
-kwenu hakujaandikwa waititu 4 governor.
-abiria wanaambianga dere azime radio ati ndo waongee vizuri
-stori za abiria haziishangi mpaka gari ikifika mwisho hawataki kutoka ati ndo waendelee kuongea.
-98% ya abiria wanaongea vernacular

WEWE UKO MASHAMBANI!! Na si ati juu kuna maflats na gari nyingi kumequalify kuwa Nairobi.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS