Exploring what breaks their hearts

17 Mar 2014

Hakuna kitu inavunja Mluhya roho kama kuona mtu akitupa ugali.

Hakuna kitu inavunja Mmeru roho kama kuona mtu akitupa miraa.

Hakuna kitu inavunja Maasai roho kama kuona mtu akifyeka nyasi.

Hakuna kitu inavunja Mkikuyu roho kama kupoteza pesa.

Hakuna kitu inavunja Mjaluo roho kama elections kuibwa 2013.

Hakuna kitu inavunja Mkamba roho kama...?

By: Yahya Pinho.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS