Well, men (real men) should style up a little bit in Kenya.
1. Hii tabia ya kusag.
Yaani unapata mwanaume mzima, amemea pubic hairs hadi kwa maskio na bado anateremsha troza hadi chini ya haga. Cha kushangaza unapata wengine nao wakona haga flat nikama zimepigwa randa na bado tu kinakazana kusag. Unapata troza imebembea chini hadi inataka kudunda.
Unaeza dhani ame shit kwa nguo. Hii swag ya kusag ni ya 1912 for Christ's sake!
2. Kutoboa maskio.
Hii ujinga kwani ilitokea wapi? Na kama wewe ni mwanaume mwenye hutoboa maskio, kwani unatakaga uitwe mrembo au vipi?
Aki walai kama wewe hukua na hii ujinga na bado ati unadhani ni swag, enda ukue admitted uko Mathare Mental.
3. Ati jinga inapiga mwenzake ngumi juu ya story za mpira.
Unapata tunugu tunabishana ati Man U wamechapwa. Kwani ni kazi mmekosa ama ni life hamna? Hebu jipe shugli jamaa.