In other news: Coast guy Kideros mzungu

17 May 2014

Hizi ndizo habari kwa utendeti.

Basi jamaa mmoja mcoast akawa ametulia pale kwenye beach kwa raha zake mwenyewe.
Mzungu akapita akamuuliza jamaa, "Are u relaxing?".

Jamaa hakuelewa, kisha akajibu "No."

Baada ya muda, mzungu mwingine akapita pale na akamuliza vilevile, akajibu tena, "No."

Akaonelea kuwa pale alikuwa anasumbuliwa. Akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja amekaa akamuliza, "Are you relaxing?"

Mzungu akamjibu, "Yes".

Basi jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia, "Kumbe we ndo relaxing inuka unatafutwa na wenzako... shenzi, muda wote huo nasumbuliwa kumbe we ndio relaxing... PUMB AVU!"

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS