DEM: Hallo babie naomba unitumie credit ya 500 na ukija nyumbani usisahau kuja na chips kuku coz niko na friends zangu. Alaf babie nadaiwa 3000 nilikopa kwa ajili ya birthday ya rafiki yangu. Pia swty naomba uniongezee 4000 ya viatu na 2000 ya saloon si unajua leo ni weekend.
Na usisahau kunipa 5000 nitengeneze laptop yangu coz sijaingia fb tangu Thursdayhalafu honey kucha zangu zimeharibika nataka nikafanye manicure na pedicure kwa hivyo nahitaji 2000 halafu babie tunakuja na taxi na cjalipa ila tunadaiwa hela ndogo shillingi 1000 i love you beiby!!! mwaaaaaaaaaest!!
Sasa Huyu Ni Mpenzi Ama Jambazi!!
TRENDING THIS WEEK
- President Uhuru asked to earn his respect
- Odhis' missing wallet in the matatu
- Meet Ngozi, the dreaded gangster who was hired to terrorize Eastleigh
- Raila speaks out on recent assassination claims
- Nyeri ladies relationship constitution (REVISED EDITION 2015)
- Ages of torture and alienation by government root of Lamu unrest
- Sugar daddy drama. A tale of fake uncles in the university
- Mukurweini MP Kabando's mother hacked to death
- Machakos voters move to save deputy governor
- Raila woos German investors for counties in his tour of Germany