How to know you are not man or woman enough

11 Sept 2014

1. Kama wee ni secretary na hajawai katiwa na any of your bosses, jua kamama umebeat kama Wayne Rooney.

2. Kama wee ni polisi na hujawahi chukua hongo, rudi KiganJo ama Embakasi utrainiwe upya. Hii baridi ya Kenya askari lazima akunywe chai.

3. Kama wee ni mwalimu na hukuwahi approachiwa na mwanafunzi ukiwa TP, kamama/kababa unataka nikwambie tena unakaa boxer ya Kuttuny?

4. Kama wee ni jeshi mwanaume na hujuwahi harvest tupoko twa campus, enda kwa boss wako ushukishwe rank ukue prison warder nugu hii.

5. Kama wee ni daktari na hujawahi itishwa number na any of your patients, akuambiange 'Asante' every end month, kamama/kababa usingoje kuambiwa Bifwoli ni msupa kukushinda.

6. Kama wee ni taxi driver na hujawahi ulizwa na couple customers kama wanaezamalizia hiyo maneno back seat halafu wakulipe ya lodging; kababa anza kulia, your job is at risk ju ya sura yako mbovu kama Marvin ya tarimbo ya msudanese.

8. Kama wee ni engineer, aki pole, am sure hakuna mtu amewahi shughulika na wewe, ju engineers wote wamechapa kuchapa!

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS