skip to main |
skip to sidebar
Majibu za makanga
-Conda:Hela mkononi hapo!
Dude:Gives cash, dozes off
<Akisha gutuka toka usingizini>
Conda:Boss sasa leta ya lodging...
-Btw makanga wa nairobi wanapenda hatespeech especially towards non-Nairobians!Sasa in this Eastleigh mat leo, some short kienyeji mboch couldn't reach ile chuma ya kujishikilia woiye...so the mat pigaz corner akashikilia Conda ndio asianguke, wololo!Kange akashout: Nkt we mshamba, hii chuma sio ya kuanika nguo...jishikilie hapa!
-Con:Beba beba tao mbao beba!
<Chic approaching>
Chic:Ati ngapi?
Con:Mbao supuu..
Chic: (flirty)Aii si kumi?
Conda to Driver:Eh Dere ebu inua kabla tuambukizwe ujinga hapa!
-Dere to Conda:Haiya ona hii handbag ikona wheels!
Conda to Vits Driver: We toa gari kwa bara bara ama tuitege!
-<Mathe trying to board with luggage>
Conda:Hii mzigo ni 20bob.
Mathe:Hii kidogo hivi unalipisha?
Conda:Nkt Hebu iweke hapa chini tuone kama itajifikisha kwenye inaenda!
-Madharau nayo!
pass: Country bus iko wapi?
Konda: Penye ulishukia mara ya kwanza ukicome Nairobi.
-Lol thinking on your toes is what it takes to be a kange, if you catch em offguard it's your lucky day!
Conda to dere: beba hao watu!
Dere: (irritated)Nkt Tuwabebee wapi na tuko excess?
Conda:Aah si kwa hizo side pocket zako!
-<Cute Chic standing outside wilson>
Conda:Beba beba madam unaenda?
Chic:Sneers, rolls eyes and mschewwws>
Conda: Unaringa na wewe ni makanga wa ndege?Dere inua!
-<Mat is stopped by a Mboy in Mblu>
Police:Gichana mbona wewe nabeba excess?
<Conda turns around pointing>
Conda:Nani anaitwa excess?We excess si utoke unatakikana hapa nje!