Funny Kenya

26 Mar 2012


Jehova witness ali Knock kwa mlango ya Mlevi akamuuliza: "unamjua yesu ?"
Mlevi : simjui, hata mimi ni mgeni hapa !!!!!!
A Dude seated next 2 a very hawt mama farts loudly da chic looks at him annoyingly. This Dude kwa huruma looks at her n ask'' ni sauti imekutisha ama harufu*
A beer is alwayz wet,A woman is not!

Beer is horrible when hot!

... For beer, you pay taxes!

If you take a 2nd beer, the 1st one does't get angry!

You can always be sure that, you're the 1st one opening beer!

If you shake a beer, after a while it clams down by itself!

You know exactly how much a beer costs!

A beer does't have a mother!

Beer won't ask to hug her 4 half an hour after having it!

If you're a woman reading this & getting angry.... ..... ...
Know that a beer would never get angry!!
CHIC:(seems lost)Wee excuse,unajua penye K.U inakuanga?
CMM:Kisii University?
CHIC:mssscccheeew!mi nakaa kusomea huko?
CMM:Saa unaringia nani!ata hukai kujua kusoma,ka unapotea ukiwa solo na venye wee ni mkubwa,ni kusoma utajua??..
Masai: kupeleka mimi ngong talipisha gapi?

Tax man: Mia nane,

Masai: Halafu mimi iko na Tv talipisha gapi ya Tv?

Tax man: Hiyo sitakulipisha

Masai: Basi ero fanya hivi, pelekea mimi tv kama hapana bado halipi, mimi tatembea mguu:
 Y is thea no fitting rum at the pharmacy? Just like the cloth stores hw is one supposed 2 knw the cd fits? #tunaomba serikali iangalie hiyo maneno.
 ati ujinga ni mtoto wa hawker kusema wen
i grow up i wana be Kanjo!
Overheard btwn a hawker n a passenger
kwa mat.
Hawker: dawa ya mende dawa ya
mende..Customer c ununue leo?
passenger: apana,mende zetu c gonjwa.
Makanga : Nice Dress !!
Girl : Thanks.
Makanga : Nice Ear-rings !!
Girl : Thanks.
Makanga : Nice Shoes !!
Girl : Thanks.
Makanga : Nice Lipstick !!
Chic(Flatter'd) : Woooooow Thanks:)
Makanga : But Still You are not Looking
Beautiful Lipa gari..!!
omondi:sasa
kamau:poa sana
omondi:habari ya siku kuu?
kamau:poa tu,nilichinjia familia mbuzi tatu
omondi:ata sisi tulichinja samak nne
If electricity comes from electrons, does morality come from morons???

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS