Kuna nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
MUME: Fungua mlango!
MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.
MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.
MKE. Kufa huna faida yoyote duniani!.
MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo dubwi!
MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
MUME: Piga kelele na wakija uwambie unakotoka wapi usiku huu na kanga moja.
TRENDING THIS WEEK
- Shocking Details of Nairobi's Thriving Porn Industry
- Direct translations
- Shocking details of Kibera’s live sex shows
- Are they socialites or just expensive prostitutes
- Crazy nairobians and their crazy ways
- Kimaiyo orders arrest of leaders over Makueni shoot-out
- What your phone says about you
- Masaibu ya walevi na wake zao
- Letter to Bill Gates from Kenya
- Disadvantages Of Being A Man.





