"Kamshahara pap!"
Wasee wa kwanza kulike ni Landlord na Mzee wa duka ulikopa vitu..
Alafu Cheki Comments:
Mpango wa kando: Lov it....
Mtoi wako: Uniform pap!
Mama pima: Nshakuekea yako
Wife: Mmhhh! Hun pitia Supa plz....
Na kamshahara kenyewe ni 4500!