Ati... sema yako usikike

31 Aug 2014

1. Ati mutura ni 80 bob, kwani ni ya kingoso?

2. Ati matatu 200 bob kwani inaenda heaven ama Rongai?

3. Ati nyama ya mbuzi kilo moja 90 bob, kwani ilipigania uhuru.

4. Ati anajidai ako na nguvu kwani yeye ni samson.

5. Ati lita ya maziwa ni 70 bob kwani ni ya ndume.

6. Ati mahindi choma 40 bob kwani nakula kisogoro pia?

6. Ati nyanya 50 kwani iko na kachumbari ndani yake?

7. Ati viatu ni 10,000 bob ,kwani ukivaa inaenda ka nduthi.

8. Ati 'baby kesho utanipeleka out' kwani tuko in?

9. Ati unaongea kwa mafumbo, kwani we ni Yesu?

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS