Characteristics of a slay king
16 Nov 2017
1. Eating inside a Matatu (If a must chew a gum)
2. A mat must completely halt for you to alight (mwanaume ni kukanyangiwa kwa jam unaruka)
3. You use words like....woishe, woiye, khai, Gosh, OMG.....
4. If u own a car....kuekewa pumzi na fuel attendant.
5. Kubebewa kamzigo tao na jamaa kwa bega(afadhali trolley if its twice your weight).
6. Kubebewa gas cylinder na attendant.
7. Kusneez unasema ...."excuse me"
8. Kutapika ukilewa sana.
9. Kusimama tao kwa smokies zone na kula hapo....fungiwa ukulie mbele.
10. If wewe ni bachelor na kwako uko na bathing soap na laundry soap.
11. Kungoja ufunguliwe soda kwa function.... Meno ni ya nini boss?
12. Kuoga morning na jioni.
13. Kushika mtu wa boda kiuno.
14. Kulala na shorts , T-shirt na sock (mwanaume ni kulala na ngotha pekee ata kukiwa na jeve)
15. Kukula kuku na kisu na fork
16. kukunywa Fanta
17. kutumia tissue paper ukiwa ocha (mwanaume ni kutumia matawi ama machani...ama ata kuslide kwa nyasi )😂
18. kuitisha chips hotelini (mwanaume ni kurarua ugali)
TRENDING THIS WEEK
- Stupid questions, well answered
- Only a Kenyan Kikuyu will say this
- Bar owners in protest over alcohol tests
- Nyeri ladies relationship constitution (REVISED EDITION 2015)
- Governor says arrest is part of plot by government to take over Lamu
- Police come under fire for murdering 14 year old girl in cold blood
- Lecturers to strike next Wednesday over Sh 3.9 b pay
- Jicho Pevu's Mohamed Ali's open letter to Uhuru Kenyatta
- New generation has to come up to continue with democratic struggle
- County rep in trouble for Uhuru bhang slur