Insha ya mtoto wa Kariobangi

8 Jul 2014


Ilikua Mangware kitu ka saa moja na mbaula. Mathe alikua ndio anapika bre breko na si tulikua tuna du tunadunga gwanda za chu gwanda za chuo. Kighafla bin vuu mzae akadungiwa Nangos ngrrrrrr ngrrrrrr ngrrrrrr Akauma va vako akai lee akailenga. Mi nikachukua ndunya a.k.a ndao ama skonya nikaichapa mabite mbili chwa chwa, kizangila zangila nikaingia bedroom chini ya maji.

Nikasanya mbao ya kukula mogoka brektime chuo. Mabunde zikaanza kulia twa twa twa dushnyau. Nikajua kuna msee anaperembwa kuchungush kwa odiro, nikacheki ni buda ako works anaperemba wasee kwa coridor ya kina Symo.

Juu ni tit for tat pia mi nikasaksua macoin zake kwa koti.

Mwanasemanga mtoi wa nyoka ni nyoka ziiiii hio ni kata mtoi wa nyoka ni nyoka ndogo.
Saa ticha jo manze hii insha nilicram hadi hapa nidunge kenye unanidu Unanidunga nime ma nimemada.

Awolan sha shutterde.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS