Insha from Lelechwet Primary School, Rongai County
19 Aug 2014
Natoka kichichi ya Kiptenden. Sisi anaishi uko,lagini resop yetu ni Kapmureito. Sasa, kwetu kuna maachapu!
Musee ya poma yetu iko na pipi tatu na ile pitina iko kwa filech ni kwamba anataga kuongesa pipi ya inne. Ni kama ii musee haikusikia ile musemo, 'tamaa iliua fizi'.
Musee yetu ni songo wasimu. Ago na ngombe ya teiri, mpusi na kondoo ya manyoek.
Mama yangu ago na kuku ya mayai,mama ya Kiptum ago na kuku ya nyama, alapu mama ya Brotich yeye amesota anabanda kopich.
Kwa sopopu kwa kimila yetu, kichana yenye ameenda Tum apana rusiwa kulala nyumba kupwo. Sisi mapoiz iko na singira ya mapati.
Tuko na machirani wengi. Wengi yao wana fitugo tupu. For exampol, mama Kilemendina anachemsha changaa, mama Bruto anashida ya kusaa...
ALSO READ:
Award winning Hilarious English composition from the heart of Siaya county
Hillarious composition from Nyakemincha High School
Insha ya Kiswahili ya Omondi
Insha ya mtoto wa Kariobangi
TRENDING THIS WEEK
- Stupid questions, well answered
- Characteristics of a slay king
- Only a Kenyan Kikuyu will say this
- Bar owners in protest over alcohol tests
- Governor says arrest is part of plot by government to take over Lamu
- Police come under fire for murdering 14 year old girl in cold blood
- Lecturers to strike next Wednesday over Sh 3.9 b pay
- Jicho Pevu's Mohamed Ali's open letter to Uhuru Kenyatta
- New generation has to come up to continue with democratic struggle
- County rep in trouble for Uhuru bhang slur