What kenyan ladies really want

3 Sept 2014

1.Kama dem ni Mjaka, bora apate sofasets baridi, carpet, flat screen TV alafu aone uko na suits kadhaa kwa hanger hata umtoe na panga utamkata tu lakini hataenda.

2.Kama ni Mkikuyu, bora apate uko na mali worth 200k ama zaidi walai bilai hata umwitie chief na mzee wa mtaa hawezi toka.

3.Kama ni Mluhya, bora akiingia aone ndoo imejaa unga na kuna chai, mkate na maandazi hata uite tractor imvurute haitaweza kumtoa.

4.Kama ni Mkamba, bora apate una shamba, chakula na maji ya kutosha. Hata umtishe na powersaw aki ya nani utamkata tu lakini hataenda coz kwake ni kama amefika Canaan.

5.Kama ni Mkisii, bora hakuna dalili ya nguo ya mwanamke mwingine kwa hiyo nyumba. Utamwoa upende usipende!

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS