HISTORY NEWS: Maasai ang'oa gia la basi

14 Jan 2015

Siku moja kwenye basi la abiria, Maasai mmoja alikuwa  akimwangalia dereva anavyo endesha basi huku akiingiza gia moja baada ya nyingine.

Ilipofika muda wa kula baada ya safari ndefu dereva akapak basi ili abiria wapate kula na kupunzika kidogo.

Waliporudi kwenye basi dereva akakuta gia ya basi imeng'olewa. Kukawa kisanga Uswahilini!

Ndipo Maasai akamwambia, "Rafiki mi niliona wewe unapata shida kung'oa hii kitu, mi tayari nimeitoa sasa hutakua na kazi ngumu."

COURTESY.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS