>Sio kila mtu aingiaye kwa Bank ameenda kuwithdraw maelfu,wengine wameenda kuomba loan.
>Sio kila mtu aingiaye choo mara kwa mara ati anaendesha,labda ameajiriwa kuosha choo.
>Sio kila chali atembeaye na dame ameiva ati huyo ni dame yake,labda ni cuzo/siz yake.
>Sio kila mtu aandikaye "Nairobi here i come" ati anaishi huko,labda ametembelea auntie yake kisha arudi kwao ocha.
>Sio kila mtu akuambiaye "2patane saa nane" ati ako busy, ni lunch hataki kubuy.
TRENDING THIS WEEK
- The NHIF Job
- Majibu za Makanga on Facebook
- Trusting on men not knowing how helpless they are
- Police are killing more people than criminals in Kenya, report reveals
- Jubilee government is a failure dragging us down with it
- Why Raila Odinga is my candidate for president in 2013
- Police raid office of Supreme Council of Kenya Muslims official
- University staff threaten to strike if dues not met
- The different names and nicknames of money
- Of Nairobians and their strange ways





