Ian Juko's rants

26 Jan 2014

Bint:: Hallo mpenzi, mambo!

Jamaa:: Poa baby!

Bint:: Uko wapi?

Jamaa: Mimi niko town napata lunch.

Bint:: Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear, nataka uniletee msosi.

Jamaa:: Narudi baada ya nusu saa, Nikuletee nini?

Bint:: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne yakaangwe pembeni, baga, piza ya samaki waweke mayonaize, coka take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya Kilimanjaro.

Jamaa: Umesahau viti, meza, leseni, masufuria, sahani na vijiko.

Bint::Kwa nini dear?

Jamaa::Naona hutaki kula,unataka kufungua hoteli!!

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS