Let's show some respect for one another

3 May 2014

Hebu tuheshimiane. Acheni madharau za pesa nane.

> I was walking along Muthithi road beshte yangu aka-roll na ndaƬ na kudai, "Vipi boss nikuwai lift?"Nani boss kati ya mi na yeye?
> Unakunywa keg yet kifala flani kinakushow umbaiye RedBull.
> Uko job yet una flash hustler.
> Madame kudai umlipie taco yet unakaa Mukuru ama no nane.
> Unatumia C118 halafu dame yako anakudai umsambaze 5 bob yet anatumia BlackBerry ama Tablet.
> You live unda medication na ma-doki wamegoma yet best yako, anakushow, si ujifanye uko msick upewe off.
> Msee anajua tu poa that huna teli kwako yet anakuuliza kama ulicheki game/news jana usiku. Alitaka ulale kwa neighbour?
> Unadunga mjengo inda yet kibuda fulani kwa mat anakudaisha change ya thao.
> Unaenda supermarket, una buy vitu mob na change ni 68 bob cashier anakushow utake pad ama lolipop.
> Unaspin tuktuk yet dame ako na RRS anakushow, "Your tire is flat." > Kwenu mko familia ya mtu kumi yet besty yako anakushow, "Hawa watu huzaana ovyo do wameharibu our economy".
> Teachers wako on strike yet una ask mmoja wao kwani wanalipagwa ngapi.
> Kukosa ku-contribute kwa fundraiser ya msee yet umetumia 500 fare kuattend.
> Jamaa anakushow ule poko/ barmaid wako anakutafuta yet mko na bibi / manzi yako.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS