Effects za Bangi mob

3 May 2014


> You can search for something you are holding in your hand. Like say, your phone.
> Reggea music becomes Gospel preaching.
>Unaeza simama kwa stage 4 to 3hrs saa sita usiku ukingoja your favourite mat.
> Illusion na fantasies - unaeza jenga flats hadi uzirentishe within 30mins then uanze kudaisha mabeste wako rent ya bench wamekalia mara that that!
> Everyone becomes a fireman (ana kiberiti kwa pocket)
> You always think someone is calling you ... unaitikia ovyo ovyo.
> Kushinda ukiuliza... ''ni saa ngapi na hakuna place unaenda!"
> You own the whole town so you think everybody should be knowing you.
> Karau na chokora ni sawa kwako, you fear no one. Yaani we huogopangi.
> Walking 4 or 5 km late at night just to buy a lighter yet ukonayo kwa mfuko ama kuongezea hadaz ya 20 bob.
> Kupanda mat ni wastage ya cheddar!
> If u happen to be watching a movie, video clip or a football match ,you bcome da main actor( unashinda ukiropoka "Ngoja uone vile nitawafanyanya!")
> You forgot to alight at the right bus stop ama kukosea mlango ya hao yako!
> Memory lapse - sana sana majina ya wasee (I hear them calling each other, "wewe I'say/Ras/ mzeiya/mtu wangu! Ni kupenya ama bado!?")
> Your mobile phone has all the contacts including za state house (unataka nipigie kibaki ndio uamini? Utatoa mangapi [pesa])
> You feel like a ''ghost rider''
> Kusumbuliwa na mkojo yenye haitoki.
> If you happen to sleep wth a ''hardon'' uta-amka vivyo hivyo.
> Every mama is cute na akikucheki anakutaka.
> Getting horny hata gari ikistart.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS