Kama mimi si mrebo, usiniabie ati mimi ni mrebo. Ati dio tu niweze kuigia box. Ama dio carton. Ogea ukweri. Sitakuuma. After all, si wewe uriniumba. So makosa si yako.
Ukinipromise utanipereka Zanzibar,tafathari timiza Ahadi. Si ati uniabie tutaeda Zanzibar arafu unipereke Nyahururu. Ama Sagana. Kwani Zanzibar yako inaedagwo na Boda Boda?
Mimi ni mwanamke. Nahitaji kukaa vizuri. Na nahitaji kupewo pesa ya kujirebesa. Sio ati kazi tu ni kunipea shirigi hamsini hamsini kira mwezi. Unanipea hamsini nipereke wapi? Kwani ni sadaka??
Tukikosana, WEWE DIO UKO KWA MAKOSA. ALWAYS. Na hatutabishana Kijana. Kubari makosa na unyamaze. Na mapenzi yaederee.
Kama ni date tafathari nipereke hoteri za guvu. Hoteri ziko na gumo. Nimechoka kuperekwo kwa Mama Waithera. Na nimechoka kutumia vikobe za mabati. Na kukaria viti za bao.
Kama mipago yako sio kunioa, tafathari kaa bari na mimi. Usiniretee mushene,ati 'Oh nakupeda, ati Oh, wewe nitaishi na wewe mirere...' arafu uniwashanishe kama lorry imeng'oka muguu kwa barabara. Kichwa yangu inagoga harusi,kama yako haigongi arusi,jipe suguri.
Nikiria unafaa unikamate taitly in your arms ukiniabia, 'Sorry baibe. It gonna be orait' sio ati mimi naria na wewe uko hapo unanikodorea maitho kama thinema. Mùgúrúki úyú.
Simu yagu ni yako. Na simu yako ni yagu. Hakuna cha ati 'dont tash my phone'. Actually,kira Wednesday tutakuwo tukibadirishana Sim Card.
Abia ma EX wako wote wakae bari na wewe. As far as possible. Kwanza wakiweza wahamie Meru. Kama hawataki kuchomwo kama mahidi. Na uwaabie wasiwahi kukutext. Kitu chochote. Ama wakati wowote. Ati kukuabia "Gdnyt". Mimi dio nafaa kudecide the kind of night you will have.
Ukioba, lazima uobe kwa sauti. Sio ati ujifiche kwa kakona ati unaoba kimoyomoyo,razima niskie kire unaabia Mugu. Ama rabda unamwabia aniodoe kwa maisha yako.
Razima uote na mimi. Every night. Either uote na mimi. Ama uote ukitegeneza pesa. Anythng else ni hatia. Na ukiota na mimi uhakikishe nimevaa vizuri. Sitaki kuaibishwo kwa doto mimi.
Si pedi kukiss. I dhink ni ujinga kumumunya mudomo ya mtu mwingine,kwani ni peremede ya KSL?
Sinaga hobby. So,sitaki maswari za ujiga ati 'What is your hobby?'. Actuarry hobby yagu ni moja tu. Kukupeda. Iyo dio hobby yangu.
Utanipereka kwenyu rini? Harakisha. Napeda kutebea.
We will never break-up. Ukinipeda hauna bahati. Utanipeda mirere. Kama vire Yesu aripeda Kanisa.
Sipedi kushikwo mkono in public. Kwani mimi ni mtoto?? Ama wewe ni baba yagu?
Energy Drinks nimekataa. Hizo haufai kukunywa...Unataka Energy ya nini? Ya kuniwacha? Ama ya kutoroka?
TRENDING THIS WEEK
- Bar owners in protest over alcohol tests
- Too many unanswered questions in aftermath of Wetang’ula gun claim
- Nyeri ladies relationship constitution (REVISED EDITION 2015)
- Stupid questions, well answered
- Governor says arrest is part of plot by government to take over Lamu
- Police come under fire for murdering 14 year old girl in cold blood
- Jicho Pevu's Mohamed Ali's open letter to Uhuru Kenyatta
- New generation has to come up to continue with democratic struggle
- County rep in trouble for Uhuru bhang slur
- Only a Kenyan Kikuyu will say this