> Mwanaumme ni kukiss dame wake kila wakati ndo asiongee maneno mob
> Mwanaume nikupiga gate ya plot na mawe kubwa ndio majirani watoke waone akiingia na dem msupuu.
> Mwanaume ni kununua njugu kumwaga kwa mfuko na kutembea akikula moja moja.
> Mwanaume ni kupanga grains za mahindi kwa path hadi ndani ya nyumba yake ndo kuku ya jirani iingie kwake.
> Mwanaume ni kuweka sufuria empty kwa jiko then ikikuwa moto anamwagilia maji ndo jirani wajue anakaranga nyama.
> Mwanaume ni kumshika dem mkono kwa super-market ndio asi pick vitu ovyo ovyo.
> Mwanaume ni kucatwalk kwa nyumba ndo panya zitoroke.
> Mwanaume ni kuenda kubadilisha mtungi ya gas na kurudi na ya keg.
> Mwanaume ni kufunga mlango na kufuli mbili ndio landlord akikam asipate space ya kuweka yake.
> Mwanaume ni kumeza sphaghetti mzima ndio aconfuse minyoo.
TRENDING THIS WEEK
- Meet Ngozi, the dreaded gangster who was hired to terrorize Eastleigh
- Five people killed in fresh attack in Lamu county
- Only a Kenyan Kikuyu will say this
- Open letter to President Kenyatta - Mwaboza Mwasambu
- Man jailed 16 years for raping 86 year old woman
- Raila unveils Cord's plan for Saba Saba day
- MPs demand Kaimenyi's resignation
- Nairobi commuters walk to town as Matatu operators strike
- Ian Juko's rants
- Cash-strapped Gor Mahia in passionate appeal for funds