Lipi Ujinga zaidi?

11 Dec 2012

1.) Kujiita romantic wakati upo single.
2.) Kungarisha viatu wakati unaenda kupiga passport size.
3.) Kukaa siti ya mbele karibu na dereva alafu unamwambia konda shusha.
4) Umepigiwa simu alafu ukimaliza kuongea unacheki balance yako.
5.) Kutafuta remoti ya Tv for 10minutes wakati Tv iko karibu yako.
6.) Kuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi.
7.) Kupunguza sauti ya redio ili usome sms.


Amua kwenye comments.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS