Leo kwa mat nimeketi next na dem msupa kuruka. Dem amecladi kimodel.
Yaani dem perfect. Mimi obvious sikubalingi samaki ijilete nikose kuitega.
Nikasalimia dem akanijibu, 'Do I know you?''..nikamshow,'Actually I am the admin of the biggest page in Kenya''..akanishow 'sorry I dont use Facebook, I do BBM,twirra and Skype'
..sema kuchanganyikiwa, mi nilidhani BBM ni BlueBand kwa Mkate but nikachorea stori. Nikajichocha tena nikamshow akubali tu nimpeleke lunch leo. Nilichapwa kizungu ingine haijuani mpaka nikachanganyikiwa,
'look here dummy, you wanna take me out for lunch, I do foreighn cuisine or a buffet
in Hilton and a pizza as an appetizer'
..Nikakunja mkia nikijua nina mia tano kwa mfuko. But kitu imenibamba ni vile mat imechapa pothole kwa barabara, dem ameachilia RPG yaani Rocket Propelled Gas,,hehe ukipenda Unyambi.
Wallai mimi ni mwanaume but sijawai toa inanuka mbaya ivo. Iyo nashuku ilikua ya Mrenda ama kunde na ugali ya wimbi.
Nimepasuka yangu yote mpaka nikafukuzwa kwa mat.
Ian Juko
TRENDING THIS WEEK
- Celebrating Heritage - Omieri, the Great Snake of Nyakach
- Blogger Robert Alai commended for his informative tweets
- Shocking details of Kibera’s live sex shows
- Al-Shabaab stage attack on Kenyan military base
- Kimaiyo slaps ban on all political rallies
- Shocking Details of Nairobi's Thriving Porn Industry
- School heads who withhold exam certificates risk prosecution
- Meanings of Kalenjin names
- Land grabbing, historical injustices to blame for Lamu attacks
- How alcohol ruined my life