That awkward moment in class

5 Feb 2014

CAN U REMEMBER THAT AWKWARD MOMENT IN CLASS...

(1) Uko exam room alafu chopi wa daro anainua mkono anasema question 4 iko na shida na ushapata answer...

(2) Uko exam room alafu chopi fulani anaitisha graph paper na
ushamaliza paper na hujaona mahali inatumika...

(3) Uko exam room alafu invigilator anakam anasema uruke question 6 kwanza iko na shida watairectify baadaye, na hiyo pekee ndio ulikuwa umeweza...

(4) Uko exam room alafu unaona watu wanatumia ruler na hujui ni kwa nini...

(5) Uko Chem Pracz halaf unaona watu wakititrate inachange colour na yako inabaki tu colourless....

Wewe naye?

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS