Types of people you should block on Facebook

13 Sept 2014

WALE WATU UNAFAA KUBLOCK FB:

1. Kama kuna mtu jina lake ni Mary
Wangari na hujiita Marycasterlicious Wangarifficmcute, mpe 15 mins kuwa friend wako.

2. Kama kuna mtu ameweka profile picture ya Beyonce ama Rihanna, block haraka iwezekanavyo.

3. Kama kuna mtu posts zake ni zile za 'I'm out 4lunch'. Nkt FB si hoteli. Ama 'I'm sick'. Nugu hii. Kwani FB ni hosi? Hata sijui unangoja nini? Block faster!

5. Kama kuna mtu uliadd 1yr back na hata hajawai kukuinbox. Funda hii sijui friend list yako kwani ni refugee camp? Block.

6. Kama kuna mtu akiupload photo anatag watu 500 na anapata 1 lyk after 3 days, huyo block akitaka aseme kwa Olele Lenku.

7. Kama kuna mtu anakuanga online na uwa hapost wala kucomment, block yeye. Kwani uwa aki install cctv kwa FB?

8. Na kama ni wewe, diactivate account yako.

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS