Back in my younger days...

5 Feb 2014

Kweli tumetoka Mbali Eh?
1. Kunyolewa na scissors

2. Kuambiwa usitoe vikombe na sahani za wageni kwa wall unit.

3. Kurewind cassette na biro ya Bic.

4. Kubrush meno na miti

5. Kuhang ma success cards kwa nyumba.

6. Kufunika TV na kitambaa

7. Kubeba jivu na maji primary.

8. Kung'olewa meno na uzi

9. Kujifanya umelala ndio upewe chapati ya kwanza.

10. Kufungiwa pesa na handkerchief ndio usipoteze.

11. Kuogea nje Sato ocha.

12. Kupewa dawa ya minyoo na ati upupuu kuhakikisha imetoka.

13. Kukatiana patco na ngumu

14. ...

JOIN GROUP KENYA


 

ADVERTISEMENTS