Serikali tafadhali, tunaiomba serikali...
*Inyang’anye Dida wife mmoja,ipatie Maina Mageni.
*Inyang’anye Wakalenjin ka mbio kidogo igawie watu wa Pwani.
*Ichote maji kidogo Indian ocean, imwage Ukambani.
*Inyang’anye Wapwani ka Kiswahili kidogo, igawie wajaluo, donge?
*Inyang’anye Wajaka ka romance kidogo, igawie Wakikuyu.
*Itengeza the road to success ikue super highway ndo kila mtu afike haraka.
*Inyang’anye Miguna Miguna na Kabando wa Kabando jina moja ipatie Nameless.
*Inyanganye madame Wakamba nyege kiasi ipatie madame Wamaasai.
*Inyang’anye shirandula unono kidogo ipee Erick Omondi.
*Inyang’anye nzi ujinga ndo ianze kutengeneza asali.
*Iambie Coca cola wajaze soda kwa chupa.
*Iache watu wa Analogue TV tuhamie digital pole pole.
TRENDING THIS WEEK
- Stupid questions, well answered
- Jicho Pevu's Mohamed Ali's open letter to Uhuru Kenyatta
- Characteristics of a slay king
- Bar owners in protest over alcohol tests
- Governor says arrest is part of plot by government to take over Lamu
- Police come under fire for murdering 14 year old girl in cold blood
- Lecturers to strike next Wednesday over Sh 3.9 b pay
- New generation has to come up to continue with democratic struggle
- County rep in trouble for Uhuru bhang slur
- Only a Kenyan Kikuyu will say this