Sema kuwa Romantic
Jana nilikuwa napiga tu round zangu chuka stage kwa upekuzi wangu nikaona kadem kasupuu kamekaa solo kwa bench..... mimi nani... nikajitupa hapo..
Kalikuwa kanakaa kama kameboeka... i wanted kukakatia lakini kwa ujanja... mwanaume ni ujanja..pupa achia punda.
Sasa coz mimi huwa very Romantic, nilitoa my S4, nikafungua kaplay list ka romantic songs.. Nikapandisha kavolume na kuanza kuachilia... Judy Boucher... You caught my eyes... ikaimba... dem nikaona ametulia....
Sema marc Antony... I need u... "From the day i met u gal...." Brian Adams.. Enrique.. Hero.., #1.. to Celine deon... vile niliangalia dem.. nikanotice hakuwa na haraka ya kumove... Nikajua nimempata.. mwanaume ni akili.. nywele achia wanawake...
Sasa vile nilikuwa nataka kufika climax nidrive message home na Romeo ya Lucky dube, nikasikia dem akaniguza... sema furaha... akaniagalia kwa macho then akaanza kutoa sign language fulani hapo... Nikamuuliza.. "Nini?".. Nikajua ni kuchanganyikiwa na love.
Nikaona anajaribu kutoa sauti flani... na sign language akiguza mkono wake..
Ndo beshte wake akatokea akanishoo.."Anauliza ni saa ngapi. Huwa hasikii. Ni kiziwi. Pia
haongei..."...
TRENDING THIS WEEK
- Shocking Details of Nairobi's Thriving Porn Industry
- Anti-referendum hooligans attack Nandi officials
- Jaluo in the house....
- I will not appear before parliamentarians, Raila
- Are they socialites or just expensive prostitutes
- My way to exile, Raila Odinga
- Conservation efforts for the Mau are all welcome
- How to spot a Kenyan lady
- Meet the fastest rising female kalenjin musician
- Media blamed for ODM cracks as Namwamba remains mum at press conference





